Saltar la navegación

Credits

home page help (reference guide) search download (pdf) print broken link

 

 

Author  Serena Talento

Serena Talento anafundisha Kiswahili na kozi maalum kuhusu taaluma ya tafsiri, hasa kuhusiana na muktadha wa Kiafrika, katika Chuo Kikuu cha Bayreuth. Aidha, ni Mtafiti Mshirika katika Idara ya Isimu na Kitendo cha Lugha katika Chuo Kikuu cha Free State, na Mwanachama Mshirika wa Kituo cha Tsikinya-Chaka katika Chuo Kikuu cha Witwatersrand. Nyanja zake za utafiti ni pamoja na mabadilishano ya kifasihi kutoka na kwenda Kiswahili, sosholojia ya tafsiri, historia ya tafsiri, tafsiri na uzalendo, tafsiri za kazi za Shakespeare kwa Kiswahili, pamoja na tafsiri na utamaduni wa muswada.

Kitabu chake, Framing Texts/Framing Social Spaces: Conceptualising Literary Translation in Three Centuries of Swahili Literature, kinachunguza mjadala kuhusu tafsiri ya kifasihi kwenda Kiswahili katika miuktadha mitatu ya kihistoria ili kubaini jinsi mjadala huo unavyofungamana na nyanja za kifasihi, kihistoria, na kijamii za mazingira lengwa.

2026. “Creativity, Visibility, and the Bodily Dimension of Translating in Swahili Verse Translation”. @ Batchelor, Kathryn & Odrekhivska, Iryna (eds.) Translation Studies before James Holmes: A Critical Reader. London: UCL.

2025. “The Merchant, the Capitalists and the Usurer: The Merchant of Venice in East Africa between Nation and Self”. @ Aboluwade, Ifeoluwa, Talento, Serena, Mforbe Chiangong, Pepetual & Nyambi, Oliver (eds.) 2025. African Shakespeare Subversions, Appropriations, Negotiations, 97-116. London: Routledge.

2022. “Literary Translation and Nation-Building in Post-Independence Tanzania”. @  Rundle, Christopher (ed.) 2022. Routledge Handbook of Translation History, 337-352. London: Routledge.

2022. “On Pluralism and Relevance in World Literary Transfers: Preliminary Reflections on the Mapping of Contemporary Swahili Literary Extranslations into Italian, English, and German”. @ Roig-Sanz, Diana, Carbó-Catalan, Elisabet & Kvirikashvili, Ana (eds.) 2022. Decentering Global Literary History: The Role of Translation and Cultural Relations in ‘Peripheral’ Literatures, Special issue of Comparative Literature Studies 59/4: 727-748.

2021. Framing Texts/Framing Social Spaces: Conceptualising Literary Translation in Three Centuries of Swahili Literature. Köln: Köppe.

ORCID email address

 

Creado con eXeLearning (Ventana nueva)